Mwongozo wa Bwana Chui wa Muziki wa Kiafrika       
Mwanzo    Wanamuziki, tafuta    Makala na mahojiano    Viungo   
Papa Noel

HISTORIA YAKE
MAKALA

SAHANI:
BEL AMI
MOSALA MAKASI
BANA CONGO

    

 


1940 -
CONGO, JAMHURI YA DEMOKRATIA

Ama:
Antoine Nedule Montswet

Mwanamuziki wa:
Franco
Sam Mangwana

Lugha:
Kilingala

Mtindo:
Rumba congolaise

Ala:
Gitaa
Waimbaji wa kiume

Makala:
Article

Kwenye mtandao
Presentation w/video

Historia yake

Papa Noel ni mmoja wa kiini cha gitaa la rumba ya kikongo. Yeye pamoja na Nico na Franco wakiwa wapiga magitaa, walileta mapinduzi ya muziki wa kikongo ambao ulifuatiwa na magitaa ya umeme katika Afrika. Kinyume cha ng'ambo ya pili ya Atlantiki, hawakuanza kupiga rock'n roll walipopata magitaa ya umeme, ila rumba ya kutoka Cuba. Papa Noel alizaliwa Leopoldville iliyokuwa Kongo ya Kibelgiji mwaka 1940. Tangu alipozaliwa siku ya noel, akapata mara moja jina la Papa Noel. Mama yake alimununulia gitaa alipokuwa na umri wa miaka 8, na akaanza kuzagaa zagaa katika studio za miziki hapo mjini. Akiwa na umri wa miaka 16, alitoa rekodi yake ya kwanza, muda si ktambo akajiunga na bendi ya kwanza ya Franco ya Rock-a-mambo. Tangu hapo amepiga na bendi nyingi mbalimbali kubwa nchini Kongo, ikiwemo ya Franco TP OK Jazz. Miaka iliyopita amekuwa mashine katika bendi ya Sam Mangwana. Mtindo wake Papa Noel unajulikana kuwa mwepesi na wenye mgusio wa burdani.

Wanamuziki wanaohusiana:
Sam Mangwana
Franco
Kekele

 A   B   C   D 
 E   F   G   H 
 I    J   K   L 
 M   N   O   P 
 Q   R   S   T 
 U   V   W   X 
 Y   Z 
COMPILATIONS
WANAMUZIKI A-Z

KJØP PLATE

 

Tadhibiri mpya:
22 nov 2009

  
Rudi juu



    

BEL AMI  
Sterns Africa/2000

Rekodi hii ni mojawapo ya rekodi mfululizo za klasiki zilizotolewa na Stern na umeungwa pamoja na rekodi ya "Bon Samaritan" na "Haute Tension", ambazo zilitolewa Kongo na Paris mnamo mwaka 1984 na 1994. Kuchanganyika kwake ni kwa haali ya juu, mtu hawezi kusikia kama kwamba hii inatoka kwenye albamu mbili. Tofauti pekee iliyopo ni katika wimbo wa "Bon Samantan" kuna tarumbeta nyingi na wapulizaji wasiojulikana kutoka jeshi la bendi ilikuwa mitaani. Papa Noel anapiga kwa utaratibu wakati wote kwa hali ya ujuzi sana. Haonyeshi kama anajikaza hata kidogo, sauti ni kama almasi toka kwenye gitaa ambapo yeye anacharaza nyuzi za gitaa na kuwaacha wanamuziki wake mgongoni wakiyumbayumba. Ana madoido ya upigaji gitaa kama keith Richards, kama ufananisho unaweza kuleta maana yeyote. Yeye anashaini mara chache sana, ila huweza kujibwaga na solo fupifupi ambalo linafanya mtu akatike kiuno. Ni ya kuvutia na kutakimili.

 

KJØP PLATE
Rudi juu



    

MOSALA MAKASI
Yard High/2001

 

KJØP PLATE
Rudi juu



    

BANA CONGO  
Tumi/2002

After the cooperation with the Cuban singer and guitarist Adan Pedruso Papa Noel is back with a new Cuban project. This time the guitarist Papi Oviedo, born 1937, is partner for Papa Noel's investigation into the Cuban/Congolese musical connection. The CD is recorded in Havanna and Paris, and in addtion to the two guitarists a solid salsa band joins in. From the first riff you hear that this is an idea that works well. Both salsa, son and rumba congolais are musical forms that have travelled across the Atlantic, the two first from Africa to Cuba, the latter the opposide way. When these two guitarists meet, the fusion is perfect. They both belong to the same generation. It's hard to hear when the salsa stops and the rumba begins. It's just swinging (sic!) and sensous music played by two sensitive guitarists in the foreground. Papa Noel on his ordinary accoustic guitar with steel strings, Papi Oviedo on his Latin tres, with three sets of double strings, something that gives a beautiful dynamic. As an Africa fan I prefer the most obvious African influenced(!) songs, like Noel's own "Juliana" and "Molimo", but the CD works as an excellent introduction to the accoustic music on both sides of the Atlantic. And seldom the relationship has been better and more enthusiasticly illustrated than here.

(Clique record company for sound samples)

KJØP PLATE
Muhariri: Bjørn-Erik Hanssen
post(a)leopardmannen.no

Mwanzo    Wanamuziki, tafuta    Makala na mahojiano    Viungo   

Rembo: Idar Lind
English: Katherine Stewart-Kreisman
Swahili: Francis Chagula (francis.chagula@malvik.kommune.no)
Swahili: Habiba Rajabu (habiba@online.no)
Bendera: 3Dflags.com

This site is a member of WebRing. To browse visit here.

Another possibility.

Go deeper.